|
Nimekusogezea baadhi ya picha za zamani za watu maarufu duniani |

Hayati Mzee Nelson Mandela na mama Winnie enzi hizo.

Barack Obama na Michelle wake.. Zamani kabisa hapo kabla hata ya safari ya White House.

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe

Hayati J.K Nyerere na Mzee Mkapa

Rais Kikwete na Mbunge Edward Lowassa

Abdulrahman Kinana na Rais JK

Hayati J. Nyerere
No comments:
Post a Comment