Mnamo
Agost 23, 1973, majambazi wawili wenye silaha aina ya machine gun,
walivamia benki moja jijini Stockholm, Sweden. Mmoja kati yao ambaye
Alikuwa ametoroka jela siku chache nyuma, Jan-Erik Olsson alitangaza
kwamba, “Shughuli imeanza.” Majambazi hao waliwashikilia mateka watu
wanne, wanawake watatu na mwanaume mmoja. Mateka hao walifungwa mabomu
miilini na..read more