TTCL

EQUITY

Monday, November 18, 2013

Pichaz kutoka Club Bilicanas kwenye usiku wa ‘Ay road to #CHOAMVA’ @AyTanzania

20Wakati Watanzania wakiendelea kupiga kura kwa Mtanzania pekee alietajwa kuwania tuzo za Channel O 2013 (Ay) , usiku wa November 17 2013 kulifanyika party club Bilicanas Dar es salaam (AY Road to CHOAMVA 2013) ambapo mastaa kadhaa walionekana kwenye stage kumpa support Ay.

Kumpigia kura Ay unaweza kutembelea www.channelo.com au piga kura kwa Best Gifted male video: sms 1D kwenda +2783142100415 na kwa Best gifted East video: sms 12D kwenda +2783142100415.
1Watu wa nguvu kama kawaida walijitokeza.
2Rapper Stereo, Wakazi na mtu wa nguvu
3
4Dee Andy kutoka XXL ya Clouds FM, Reuben Ndege (Ncha Kalih) na Shadee kutoka @Clouds_TV
5B12 kutoka XXL ya Clouds FM, FidQ na Sajjo.
6Brothers wameshow love kwa Ay
7Young Dee na watu wa nguvu
8Jokate na Young D
9Hawa Warembo ni miongoni mwa waliofungua show
10
11
12Stere.
13
14Godzillah
15Ommy Dimpoz kazini
16Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee
17
18
19
21
22T.I.D na Ommy Dimpoz
23
24Fid Q na shabiki
25
26
27Ikafika zamu ya AY.
28
29
30
31

No comments:

Post a Comment