TTCL

EQUITY

Saturday, November 16, 2013

MMILIKI WA BLOG YA BOSSNGASA.COM ANUSURIKA KUTOLEWA UTUMBO, ASHONWA NYUZI NNE

siku ya jana tar 14/112013 majira ya sa 5 usiku nilinusurika kumwagwa utumbo na jamaa mmoja  ambaye anaitwa Dikson kanje baada ya kutofautiana kauli, ila namshukuru mungu naendelea salama na mtuhumiwa ameshikiliwa na jeshi la polisi

Namshuru mungu madaktari walinipokea vizuri na kunipa huduma haraka iwezekanavyo kwa kunishona nyuzi 4:

No comments:

Post a Comment