Huyu ndiyo mtoto wa Linex mwenye miaka 8 aliye ishi kwa kwa mama yake kwa muda wote bila Linex kujua kama ana mtoto
Akizungumza na Bongo5 leo, Linex alisema alikuwa hatambui kama ana
mtoto mwenye umri wa miaka nane kwakuwa alifichwa na mpenzi wake
kutokana na mambo ya kifamilia kati ya wapenzi hao wawili.
“Kweli nimefurahi sana kupata kitu ambacho haukukitegema. Kwa sasa nimetoka kumchukua katika shule ambayo alikuwa anasoma nataka kumhamisha,” amesema Linex

Mtoto wa Linex Sunday,Richard Sunday |
“Unajua mambo ya wanaume jinsi tulivyo,mimi nimeshindwa kuruka kwasababu kitu alicho kifanya ni cha kijasiri sana.”
Hata hivyo Linex amesema hataki kusema nini kilitokea kati yake na mzazi mwenzake kwakuwa anaandaa documentary ya tukio hilo itakayokuwa na mambo mengi excusive kuhusu yeye na mahusiano yake pamoja na mtoto itayotoka wiki ijayo na kuisambaza kwenye TV mbalimbali.

No comments:
Post a Comment