Mavazi yana umuhimu wake kwenye mapenzi, jinsi utakavyo vaa ndio jinsi
utakavyo weza kumshika mwenza wako vaa nguo ambazo anazipenda na ambazo
zitaweza kumleta kwenye mood nakufanya huru katika hali ya kukupapasa popote atakapo. Ni vyema vidole ama mikono ya mweza wako kuwa huru katika kuutembelea mwili wako ambapo kwa uhuru huo wewe utajihisi mwenye raha asilani...
No comments:
Post a Comment