Picha:Uzinduzi wa Swahili Fashion Week 2013,uliofanyika Golden Tulip Jijini Dar es Salaam
Usiku wa kumkia Jumamosi Novemba 16,kulifanyika uzinduzi wa Swahili
Fashion Week kwenye hotel ya Golden Tulip,'Msasani Peninsula' jijini Dar
es Salaam,uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo na
mastaa.
No comments:
Post a Comment