Saturday, October 19, 2013
NAJIVUNIA; SANAA KAZI YANGU, KIPAJI CHANGU, KWAJAMII YANGU
kama uliikosa shoo ya jana ijumaa 18/10/2013 umekosa shoo kali kinoma, ilikuwa ni shangwe, kelelee.. yaani ni nooomaa mzazi. hii kitu ilikimbiza, umewahi kuona kibaba inavyochezwa live!! hapa kila kitu kilikuwa ni kisangaa.....
hii ilikuwa ni shoo ya kwanza kwa wana wa Swahili arts group na kiukweli ilikuwa sio mzaa, kila pahala ilikuwa furaha, kwenye mashine alisimama mtu mzima mkali wao DJ sam pamoja na Baba la baba Seif Mzirai hawa wotee ni wana wa swahili arts group. shoo nzima utaipata hapa hapa UNBOUNDERIESNEWS.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment