Nimezaliwa Dar es salaam.. Mambo
kibao nimepitia, ukichangia mazingira nliyokulia nmejifunza na kuona
mambo mengi.. bangi ,pombe hata ..sigara hayo ni mambo nmeona watu wangu
wengi hata wa karibu wakitumia mfano mzuri alikua..babaAngu mzazi
akitumia ( R.I.P) ila kuhusu Unga Ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana
maana hakuna hata mtu yoyote wa karibu yangu niliyeona akitumia, zaidi
nilichoona ni wote waliotumia hamna hata mmoja kati
yao alietumia hayo madawa
akafanikiwa.. nachohitaji kuwajulisha watu wangu wote ni kwamba imani
yenu kwangu kuhusu kijitambua isishuke kwa chochote mtakaacho sikia ila
zote zinaweza kua fununu tu! Stay tune.
hivi ndivyo msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flava) Young D alivyo funguka Clouds katika kipindi cha Kijana jitambue alipohojiwa na Christian Ndege Daktari wa saikolojia na mkutugenzi wa Njia panda kipindi kinachorushwa na redio ya watu Clouds Fm.
No comments:
Post a Comment