TTCL

EQUITY

Saturday, October 19, 2013

MWANA F.A &A.Y:KATIKA BILA KUKUNJA GOTI HATUKUITEGEMEA KAMA ITAKUWA VILE

A.Y NA MWANA F.A

Wakali wa Bongo Mwana F.A na A.Y ambao waliwahi kufanya vizuri wakiwa na crew EAST COST ilitoa hit miaka ya nyuma ambao wamekuwa mara zote waliweka jitihada kuupanua muziki wa kitanzania ili kuupeleka level za kimataifa na katika hilo tumesha ona toka kwao hasa kwa msanii Ambwene Yessaya (A.Y) kwani tayari vipo vituo vya kimataifa kikiwemo TRACE TV kimesha fanya kucheza vyimbo za ke A.Y.

Hata haujapita mwezi tangu kuachia video yao ya bila kukunja goti video ambayo ilikuwa inasubiriwa na wadau kwani audio ilifanya vizuri zaidi kwani mkali toka Nigeria J-MARTIN na kulikamilisha hilo zigo na kufanya mpango video itoke kali na wakajidondosha kusini mwa Afrika hiyo yote ikiwa ni kupata kitu kizuri.

Walijitupia kule na kufanya video hiyo lakini kiliche wasahngaza ni kuwa waliwahi kuwaambia wadau wawatumei video zao wakicheza bila kukunja goti ili zitokee katika video hiyo lakini mara baada ya kuanza kazi na director wa video hiyo walikutana n idea tofauti na kupata kitu kingine kabisa ambacho tayari kilijitokeza kwani video yote imejikita zaidi katika shoot za ndani zaidi na sio zile za nje kama walivotegemea na mpaka sasa hawajajua nini kifanyike ili kukamilisha kile walichohaidi maana kama ni video ziko nyingi sana toka kwa mashabiki walioitikia kufanya vile kama kusupport muziki wa Bongo.

Mwana F.A amesema kuwa kwa kiasi kikubwa wamefanikisha kwa kiukweli wamepita level za kiafrika na wamepanda zidi na wanaamini watatoboa kwa kile kilichofanikishwa katika video yao mpya ya bila kukunja goti.

No comments:

Post a Comment