TTCL

EQUITY

Saturday, October 19, 2013

LULU; SIJUI KAMA NITAOLEWA...

ELIZABETH MICHAEL (LULU)

Msanii wa filamu za kitanzania maarufu kama LULU ambaye hivi karibuni alijitokeza katika website na blogs tofauti kwa tatoo yake iliyokuwa ikidai hakuna anayeweza kumuhukumu na ikiwa ni kuwa nayeweza kuhukumu mtu ni mwenyezi mungu pekee alisema kuwa yeye kwasasa hayuko tayari kuolewa mbali na kuwa yuko na idadi kubwa ya wanaume wenye lengo la kufanya hivyi na wengine hata walikuwa wakimtongoza kipindi yuko jera.

LULU

LULU ameyasema hayo alipokuwa kihijiwa katika kipindi cha MKASI kinachurushwa katika kipindi cha luninga kinacho rushwa EATV mara baada ya muuliza maswali kijana kwa jina MUBA alipomuuliza kuwa itakuwaje kama atajitokeza mtu aliye tayari kumuona.

LULU
Hata hivyo LULU aliknusha madai ya yeye kutembea kimapenzi na BOSI wa Proin Promotion na kuweka wazi kuwa kinachoendelea kati yake na BOSI ni kazi tu na sio mambo mengine kama wadhaniavyo na taasisi hiyo inamalea kama mtoto wa taasisi hiyo.

Akiongea kama kukazia katika swali la yeye kuwa tayari kuolewa aliongeza kuwa kupindi yuko katika mahusiano alizungumzia pia mahusiano yake ma marehemu msanii wa filamu pia Steven Kanumba(R.I.P) Kuwa hakuwa tayari pia kuyaweka wazi kwasababu yeye kwa wakati muda ulikuwa haujafika wa kuweka mahusiano wazi wazi.

No comments:

Post a Comment