Jackline
Wolper na Salha Israel ambaye ni Miss Tanzania 2011 wanakuja na filamu
mpya inayoandaliwa na RJ Company Katika filamu hiyo ambayo jina lake
bado kujulikana Wolper ameigiza kama
mtoto wa Rais huku Salha akiigiza kama mpambe wa Wolper na rafiki yake
wa karibu. Wolper ambaye ni moto wa kuotea mbali Swahiliwood kwasasa
katika filamu hiyo anaonekana kuwa na walinzi(bodyguards) wanaomlinda
sambamba na mpambe wake Salha ambaye anatarajiwa kung'ara zaidi na
filamu hii baada ya kuanza safari yake ya uigizaji katika Bad Luck.
Angalia baadhi ya picha wakiwa location.............
No comments:
Post a Comment