Headlines za majina ya watu maarufu
kuingia katika siasa na watu kutoka katika tasnia tofauti
tofauti imekuwa kawaida kwa mwaka 2015. October 11 uwanja wa Mbagala Zakhem mwenyekiti wa klabu ya Dar Es Salaam Young African na mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji ilikuwa ni siku yake muhimu ya kunadi sera zake za kuomba nafasi ya kuwa diwani wa kata ya Mbagala Kuu. Hizi ni picha za mkutano uliyofanyika October 11.
Yusuph Manji akiwasili katika mkutano
Yusuph Manji akisalimiana na makada wa CCM kabla ya kupanda jukwaani.
Manji akiteta jambo na moja kati ya viongozi wa chama
Ukafika wakati wa kunadi sera zake kwa wananchi wa Mbagala
Manji akiwa na kitabu ambacho kina kila kitu alichoahidi kufanya kama watamchagua kuwa diwani wa kata ya Mbagala Kuu
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbagala Issa Mangungu
Mgombea ubunge wa Ilala Mussa Zungu
Msami alikuwepo kutoa burudani
Tunda Man akitekeleza jukumu lake la utoaji wa burudani
Queen Darleen na dancers wake
Mo Music katika stage
No comments:
Post a Comment