Raia
wa Ujerumani (kulia) ambaye jinalake halikupatikana mara moja, ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma
za kutaka kuitoroka familia yake katika Hoteli ya Cate Dar es Salaam.
Raia huyo alikuwa nchini na mkewe mwenye asili ya Afrika katika kipindi
cha msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Alijaribu kumtoroka mkewe na
mtoto (4) na kuwaacha wakidaiwa deni la Tsh. 315,000 baada ya kuzuka
ugomvi baina yao.
Raia wa Ujerumani huyo akitaka kuruka toka katika Gari
Mke
wa Raia wa Ujerumani wa pili kulia akiwa anaingia katika Gari kuelekea
katika Kituo cha Polisi cha Msimbazi Dar es Salaam na wapili kulia ni
kaka wa mwanamke wa Raia wa Ujerumani.
Wananchi wakifatilia kwa karibu.
No comments:
Post a Comment