![]() |
Baadhi ya wahitimu wa fani ya Uandisi Mitambo wakifurahia mara baada ya kutunukiwa Stashahada zao. |
![]() |
Wahitimu wakifatilia kwa makini hotuba mbalimbali. |
![]() |
Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo chaUfundi Arusha (ATC) akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wanaobaki. |
![]() |
Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne -Marie Kaarstad (kulia)akipokea zawadi kutoka idara ya Uandisi Madini. |
![]() |
Balozi Hanne -Marie Kaarstad akifurahia kazi za wanachuo alipotembelea maonesho yaliyoandaliwa kwaajili yake. |
![]() |
Wanachuo wanaobaki walionegesha mahafari hayo kwa bendera za kuvutia. |
![]() |
Balozi Hanne -Marie Kaarstad na Mkuu wa Chuo hicho, Dk Richard Massika aliyevaa tai nyekundu wakipata maelezo kwenye idara ya Umwagiliaji. |
![]() |
Furaha ya kuhitimu ilitawala. |
![]() |
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arushab (ATC) Dk Richard Massika (kulia) akifafanua jambo kwa mgeni rasmi. |
![]() |
Balozi wa Norway, Hanne -Marie Kaarstad (wa pili kushoto mbele) akiwa na wageni mbalimbali na Wakuu wa Idara mbalimbali za Chuo katika picha ya pamoja. |
![]() |
Burudani kwa wahitimu ilikuwepo kunogesha mahafali hayo. |
No comments:
Post a Comment