TTCL

EQUITY

Saturday, December 6, 2014

MH!! ROSE NDAUKA Kachumbiwa Tena?!!!!! Cheki Alichotupia Instagram

MH!! ROSE NDAUKA Kachumbiwa Tena?!!!!! Cheki Alichotupia Instagram

  • MH!! ROSE NDAUKA Kachumbiwa Tena?!!!!! Cheki Alichotupia Instagram 1

 Msanii wa Bongo movie, Rose Ndauka ambae mama wa mtoto mmoja  hivi majuzi aliwashtua followers wake kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM  baada ya kutupia picha ya mkono wake ukiwa umevishwa pete ya uchumba kidoleni na kuandika alama ya za mshangao (!!!) na badaye kuweka tena picha ya mkebe wa pete pamoja na mkono ukiwa unapete kidoleni na kuandika (Mmmmmmmh#!)
MH!! ROSE NDAUKA Kachumbiwa Tena?!!!!! Cheki Alichotupia Instagram 2
Kitendo hiki kiliwafanya followers wengi kuachia comment za kumpongeza na LIKES za kutosha lakini hadi sasa Rose Ndauka ambae hivi karibuni  aliachana na mchumba wake Malick Bandawe hajajitokeza kujibu chotote wala kuelezea chochote, swala mabalo hadi leo watu wanavutana juu ya ukweli wa jambo hili.
Tazama alichotupia kwenye picha hizo hapo juu
Swala la kuchumbiwa ni jambo la kheri hivyo Bongomovies.com kama ni kweli mpongeza na kumtakia kila la kheri