TTCL

EQUITY

Tuesday, November 25, 2014

Nadra kutokea: Angalia hapa vita ya simba watatu wakijaribu kupambana na mamba mmoja lakini awatoa nishai


Tazama video ya mapigano kati ya simba watatu na mamba mmoja ambapo pamoja na kuchangiwa na simba hao watatu,mamba aliweza kukabiliana nao na baadae kukimbilia majini.