TTCL

EQUITY

Friday, April 25, 2014

MWENYEKITI WA MTAA KUPITIA {CHADEMA} MBEYA AFUNGWA MIAKA 7 KWA KUJERUHI KILABUNI!!!!!!!!!!!!

Mwenyekiti wa CHADEMA Ezekiel King mwenye shati la kijani akiteta jambo na jamaa zake mara baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 7 kwa kosa la kumjeruhi mtu kilabuni

Askari polisi wakimsindikiza Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 7 jela

Mmoja wa jamaa waliohudhuria mahakamani akimwaga machozi baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA mtaa wa Itiji kuhukumiwa kifungo  cha miaka 7 kwa kujeruhi






.

No comments:

Post a Comment