TTCL

EQUITY

Friday, April 25, 2014

LADY JAYDEE AJIFUA KWA KARATE..

Kweli Lady JayDee ataki mchezo mara hii ni mwendo wa KARATE mpaka kieleweke tu...Hii ni Mara Nyingine amepost Picha akiwa kwenye Mafunzo.


Hizi ndizo picha alizo share mwimbaji Lady JayDee akiwa kwenye mazoezi ya KARATE. 

Akiwa na mwanafunzi mwenzake na Ticha katikati
 






Hapo vipi ukija nakupiga  tu kama hivi....
 




Picha hizi zinamwonyesha Lady Jaydee Akiwa katika mafunzo ya Karate....Hii ni kwa ajili ya kuweka mwili vizuri na kujikinga na jambo lolote baya.

No comments:

Post a Comment