TTCL

EQUITY

Tuesday, December 3, 2013

HABARI PICHA; WATU WENYE ULEMAVU CCBRT-MOSHI WAFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA CHUO CHA MAFUNZO CHA WATU WENYE ULEMAVU USA RIVER KILICHOOPO NJE KIDOGO YA JIJI LA ARUSHA

Mwl. Ramsey Mosha akitoa maelezo kwa vijana wenye ulemavu kuhusu huduma wanazo toa na mafunzo yanayofanyika chuoni hapo
Bi. Heim Mkunga na mwalimu wa mafunzo ya viungo bandia akitoa ufafanuzi kuhusu namna ya kuwahudumia na vile huduma ya watu wenye ulemavu inapatikana

Binti sarah akipatiwa matiwahuduma ya kutengenezewa Miguu bandia

Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Blog hii Bwana santos Chuwa akiwapamoja na baadhi ya waliokuwemo kwenye ziara hiyo ya mafunzo ya kujifunza shughuli mbalimbali wanazofanya watu wenye ulemavu katika chuo cha Usa river

Watatu kutoka kulia Mkurugenzi wa chuo cha usa river Bw.Diakon Clous Heim

Bi. Lilynorah Kimaro Mfanyakazi CCBRT na Mch. Fadhil Lymuya wakijisomea vijarida vya Chuoni hapo

Baadhi ya bidhaa zinayotengenezwa chuoni hapo



Wakiwa katika picha ya pamoja ni wafanyakazi wa CCBRT na walemavu waliowatembelea watu wenye ulemavu chuo cha usa river

Aliyeketi Kaimu Mkurugenzi wa chuo cha Usa river Bi. Sophia Moshi

Bi. Lilynorah Kimaro akipatiwa huduma katika duka linalo uza bidhaa zinanzotengenezwa chuoni hapo

Wafanyakazi wa CCCBRT na vijana weneye ulemavu wakionja bidhaa za chuoni hapo

Dereva wa CCBRT Bw. Athuman Ally pamoja na Liliynorah wakielezeana namna walivyojifunza kwa watu wenye ulemavu

No comments:

Post a Comment