Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja
ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya
Uhamiaji hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment