TTCL

EQUITY

Monday, November 18, 2013

WAFANYA BIASHARA KARIAKO WAFANYAMGOMO

Wafanya biashara wenye maduka Kariakoo wamegoma kufungua maduka wakilalamikia matumizi ya mashine za TRA.
Maduka ya bidhaa mbalimbali yaliyopo Kariakoo leo hayajafunguliwa. ITV iliongea na baadhi ya wamiliki wa maduka hayo leo na kuthibitisha kutofunguliwa kwa maduka hayo wakipinga uamuzi wa TRA kutaka kila duka kuwa na mashine hizo.
Mitaa hiyo ambayo inasifika kuwa na shughuli nyingi yaani, Msimbazi, Uhuru, Lumumba, Aggrey, Mchikichi, Narung'ombe, Tandamti, Congo, kote maduka yamefungwa baada ya kutangaziwa na umoja wa wafanyabiasha.
 
Madai yao ni kupinga bei kubwa ya mashine hizo ambazo kwa sasa zinauzwa kati ya milioni moja hadi laki nane.
Kama ulizoea kuona shughuli nyingi sasa hali ni kama hii

No comments:

Post a Comment