TTCL

EQUITY

Wednesday, March 4, 2015

Volkeno yalipuka Chile

Mlima Villarrica ulianza kulipuka na kurusha makaa ya moto na jivu umbali wa kilomita moja kusini mwa nchi hiyo.Zaidi ya watu 3000 wamelazimika kuhamishwa makwao.
Mlima Villarrica ulianza kulipuka na kurusha makaa ya moto na jivu umbali wa kilomita moja kusini mwa nchi hiyo.Zaidi ya watu 3000 wamelazimika kuhamishwa makwao.
Mlima huo unaurefu wa mita 2840
Zaidi ya watu 3000 wamelazimika kuhama makwao
Mlima huo umekuwa ukitoa makaa ya moto na jivu

No comments:

Post a Comment