TTCL

EQUITY

Monday, December 2, 2013

Tyrese Ashindwa Kujizuia Kulia Kutokana Kifo Cha Paul Walker …

tyrese-paul-walker-crash-site

Tyrese Ashindwa Kujizuia Kulia Kutokana Kifo Cha Paul Walker …

Msanii mkongwe wa miondoko ya R&B na Actor, Tyrese alishindwa kjizuia kutoa machozi siku ya jana baada ya kutokea kifo cha rafiki yake wa karibu ambaye ni actor mwenzake wa movie za Fast And Furious baada ya kupata ajali mbaya ya gari iliyogonga mti na kulipuka hapo hapo.

Paul-Walker-Dead-2871364
Msanii Tyrese aliamua kufika eneo la tukio alipopata ajali actor mwenzake Paul Walker kwa ajili ya kuomboleza kifo cha actor huyo, mara tu alipofika eneo hilo Tyrese alibubujikwa na machozi na kisha kuweka maua na kuondoka eneo hilo bila kuongea na mtu yoyote.

No comments:

Post a Comment