UNAPOAMBIWA MAISHA MAGUMU USIBISHE ...CHEKI HAPA
Huu ndio Ukweli wa Mambo kuhusu maisha .. sasa wewe unadhani hadi Mende
wameona ugumu wa Maisha na kuamua Kujinyonga.. sio mchezo kabisa yani
inabidi kuwa makini la sivyo hata wewe unaweza kufanya kama hvi.. life
hili ni kupambana ...
No comments:
Post a Comment