WASICHANA WAWILIWAZICHAPA NJE KIDOGO YA HOTELI FULANI...!!
Kuna baadhi ya watu wasio kuwa na aibu hata kidogo, wakina dada hawa
walianza kurushiana maneno mbele za watu na kuanza kushikana na kupigana
hadi kugaragazana chini ambapo kisa cha ugomvi huo hakikuweza
kufahamika.
No comments:
Post a Comment