TTCL

EQUITY

Sunday, December 1, 2013

LAANA YA KUTEMBEA UCHI IMEKARIBIA.....

Hivi  sasa  jamii inalia  na mavazi ya  nusu  uchi.Lakini nadhani  baada  ya kitambo kidogo  dada  zetu  wataanza  kutembea  uchi......

Thamani  ya  mwanamke  imepungua  na maadili yamepotea.Kisa  na mkasa  ni  Utandawazi  huku  wengine wakisingizia  umasikini....

Kama tatizo  ni umasikini basi  ni  bora turudi kijijini  tukalime...

Binadamu tumezidiwa hata na nyama kama Ng'ombe, tumeamua kufanana na Mbwa?

Dada zetu sidhani kwa mwendo huu kama pepo mtaiona...

No comments:

Post a Comment