TTCL

EQUITY

Friday, November 29, 2013

HABIDA : MSANII MREMBO KUTOKA KENYA ANAYEFANYA VIZURI HUKO WINGEREZA..!!

http://www.theclicktz.com/

http://www.theclicktz.com/

HABIDA
Msanii habida kutoka kenya anayejishughulisha na muziki pia ni mwanamitindo, amekuwa akifanya vizuri sana katika tasnia zote mbili huko kenya na wingireza pia ni msanii anayesemekana kuwa nakipato kikubwa kwasasa kati ya wasanii wa kike wa kenya pia kijarida kimoja cha nchini humo kilimtoa kama msanii wa kike mwenye mvuto kuliko wote huko kenya kwasasa..!!

No comments:

Post a Comment