TTCL

EQUITY

Thursday, November 28, 2013

Forbes yatoa orodha ya waigizaji wa TV wanaolipwa zaidi duniani.

Forbes yatoa orodha ya waigizaji wa TV wanaliopwa zaidi duniani

Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya waigizaji wa TV walioingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2013. Nafasi ya kwanza imekamatwa na Sofia Vergara ambaye katika kipindi cha June mwaka 2012 hadi June 2013 aliingia dola milioni 30.

Vergara, anayeigiza kwenye tamthilia ya Modern Family, hulipwa sawa na waigiza wa kiume kwenue show hiyo kwa takriban $175,000 kwa kila episode.
Tazama orodha kamili:
2. Ashton Kuchter - $24 million (Two and a Half Men)
3. Jon Cryer - $21 million (Two and a Half Men)
4. Ray Romano - $16 million (Everybody Loves Raymond)
5. Mark Harmon - $15 million (NCIS)
6. Neil Patrick Harris - $15 million (How I Met Your Mother)
7. Patrick Dempsey - $13 million (Grey’s Anatomy)
8. Tim Allen - $11 million (Last Man Standing)
9. Kaley Cuoco - $11 million (The Big Bang Theory)
10. Mariska Hargitay - $11 million (Law & Order: Special Victim's Unit)

No comments:

Post a Comment