TTCL

EQUITY

Thursday, November 28, 2013

Baada Ya Miaka 5 Ya Mapenzi Mazito,Drama Zimeanza Kati Ya Mariah Na Nick.

Mariah Carey na star ambaye ni mzazi mwenzake Nick Cannon ni wapenzi wa Hollywood wanaoaminika kuwa na mapenzi wa kweli sana kati yao na huwa wanaonekana pamoja kwenye shughuli nyingi zinazo fanyika sehemu tofauti Marekani.

Mpya Iko Hapa
Sasa wachambuzi wa haya mambo wanasema mapenzi yao ni maigizo na kuwa Mariah na Nick kwa sasa hawako kwenye wakati mzuri kimapenzi kwani inasemekana Mariah ana msaliti Nick na Mwanaume mwingine huku Nick akitaka kuachana na Mariah sababu ya tabia zake.

Fahamu kuwa Nick Na mariah wamekuwa pamoja kimapenzi kwa zaidi ya miaka mitano sasa na wamehamia miji tofauti na hawaonani mara kwa mara.

Tuna amini kuwa Mariah akitaka kumtalaka Nick atabidi amlipe pesa nyingi sana kita ambacho Mariah hataki ila pia tuna fahamu kuwa Nick nikijana mdogo na anatengeneza pesa nyingi kupitia issue zzake tofauti na hata kubali kubaki kwenye ndoa mbaya sababu ya pesa.

Msemaji wa Mariah alipigiwa simu kuhusu taarifa hizi na alikanusha kabisa na kusema sio za kweli

No comments:

Post a Comment