TTCL

EQUITY

Thursday, November 28, 2013

Boy Friend Wa Rapper Nicki Minaj Achorwa Tattoo Ya Nicki Mkononi.

Boy Friend wa Rapper Nicki Minaj amesema watu wengi hujichora tattoo za watu wasio wafahamu na hata hawajawahi kukutana nao ila yeye anafanya kitu tofauti kabisa kwenye mkono wake kwa kuchora tattoo ya baby mama wake dats Nicki Minaj Baby.

No comments:

Post a Comment