Rais JPM Atengua Uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani Kisa Ulevi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga.
Rais Dk. John Magufuli Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga kuanzia leo baada ya kuingia
bungeni kujibu swali akiwa amelewa.
No comments:
Post a Comment