SIMU.TV:
Nini mikakati ya serikali kuongeza umri wa kustaafu kwa watu wenye
ulemavu ikiwa watu hawa huchelewa kuanza shule kutokana na vikwazo
mbalimbali. https://youtu.be/i9C-4TW6dg4
SIMU.TV: Naibu waziri Mhe. Antony Mavunde atoa ufafanuzi wa lini serikali itaanza kutekeleza ahadi ya kuwalipa wazee pensheni. https://youtu.be/eIY39QPGWV0
SIMU.TV:
Hii ndio mikakati ya serikali juu ya kukipandisha hadhi kituo cha afya
cha Mangaka ili kuwa hospitali ya wilaya na kuwanusuru wananchi wa
Nanyumbu. https://youtu.be/qex559w6uIc
SIMU.TV: Nini mpango wa serikali kupeleka benki vijijini ili ziweze kuwakopesha wanawake walioko vijijini? Mhe. Kijaji afafanua. https://youtu.be/MwKHp3nq2yA
SIMU.TV:
Mhe. Ussi Pondeza ahoji suala la maafisa wa wizara ya mambo ya ndani
kushughulika na utoaji wa visa badala ya maafisa uhamiaji kama
ilivyokuwa mwanzo. https://youtu.be/LNgjBvPf0v0
SIMU.TV: Taarifa ya utekelezaji na makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya nishati na madini kwa mwaka 2016-2017. https://youtu.be/uOK8IHtiKFQ
SIMU.TV:
Serikali kuanza kukagua mikataba na kuchambua masuala ya kiuchumi
katika kuingia mikataba ya utafutaji na ugawanyaji wa mapato ya mafuta
na gesi asilia. https://youtu.be/xFLTzKoJmFc
SIMU.TV:
Fahamu juhudi zinazofanywa na wakala wa giologia nchini katika kuchora
ramani ya kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya madini. https://youtu.be/oCR2Yjyb_Hw
SIMU.TV: Kamati ya nishati na madini bungeni yaeleza kusikitishwa na kusua kwa kupelekwa kwa fedha za miradi ya umeme vijijini REA. https://youtu.be/hnlgfHy7Aw0
No comments:
Post a Comment