Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wakuu watatu wapya kuziba nafasia mbalimbali zilizokuwa wazi. Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa, Kwa mamlaka aliyonayo Rais,ameweza kuteua watendaji wakuu hao watatu wa Serikali. (Soma zaidi) hapa chini.
ikuluTaarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari.

IMG_3205
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Prof. Godius Kahyarara aliyeteuliwa na Rais Machi 19.2016

5  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba aliyeteuliwa na Rais Magufuli Machi 19.2016