Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Mpoki Ulisubisya amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Mpango Kazi wa
Taifa wa Dawa, Vifaa na Vitendea Kazi kwa miaka mitano (2015 – 2020) leo
jijini Dar es Salaam.
Zaidi unaweza kutizama picha wakati wa uzinduzi huo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango kazi wa
Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020)
leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi
mkutano wa Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na Vitendea Kazi kwa
miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mfamasia
Mkuu wa Serikali Henry Irundo na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali
Muhamad Kambi.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akionyesha taarifa ya Mpango kazi wa
Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020)
baada ya uzinduzi leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa
Serikali Henry Irundo na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad
Kambi.
Wajumbe
waliohudhuria uzinduzi wa Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na
vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja
na wajumbe wa mkutano wa taarifa ya Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa
Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es
Salaam.(Picha na Lorietha Laurence – Maelezo)
No comments:
Post a Comment