Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzake wanne wasomewa
shitaka moja la kumjeruhi katibu tawala wa mkoa wa Dar es salaam, katika
mahakama ya Kisutu DSM
Akiwa
na wenzake wanne Mbunge wa Kawe Halima Mdee, wame kana mashitaka na
wametakiwa kujidhamini wenyewe kwa kiasi cha Shilingi Milioni mbili kila
mmoja.
Mahakama hiyo imewaachia kwa dhamana baada ya kuweza kujidhamini
Mahakama hiyo imewaachia kwa dhamana baada ya kuweza kujidhamini
No comments:
Post a Comment