Joh Makini ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kurekodi nyimbo kadha
na kuwa nazo kabatini mpaka muda unapofika wa kuzitoa,I See Me ndio
wimbo wa mwisho kutoka kwa Joh Makini, Video ipo tayari na wiki
iliyopita alisema inatoka ndani ya mwezi wa Kumi 2014.
No comments:
Post a Comment