TTCL

EQUITY

Wednesday, December 9, 2015

KUTOKA MAKTABA: MREMBO SHUJAA

Mbali na kuwa ni mrembo aliyeshiriki shindano la umiss mwaka 2006 na kuwa mshindi wa pili, Pia ni mwanamke mwanaharakati, akiwa anamiliki kampuni yake mwenyewe inayotengeneza Malapa, nywele na lebo mbalimbali zenye nembo ya Kidoti, pia amewahi kuwa Host wa kipindi cha The One Show kinachorushwa na Tv 1.






Jokate Mwegelo(kushoto) akiwa na Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu(katikati) na Lisa Jensen(kulia). Jokate alikuwa mshindi wa pili na Lisa mshindi wa tatu.
Jokate Mwegelo na Mr Deng wakijiandaa kusaini mkataba wa ubia wa kampuni yake ya Kidoti


No comments:

Post a Comment