NJOO UJIAJIRI MWENYEWE, NA UJIKOMBOE SASA
Wanawake
wa Kitanzania Miliki Biashara yako sasa.Njoo upate elimu ya Biashara
kisha Ujiajiri na kukuza Kipato chako mwenyewewe.Jiandikishe kuwa
mshiriki wa Manjano Dream-makers na kuingia katika Tasnia ya Vipodozi
nchini kwa kujiongezea kipato kupitia kipodozi pendwa cha LuvTouch
Manjano.
Washiriki
watakaochaguliwa watapata mafunzo yenye ueledi wa biashara na
ujasiriamali pamoja na jinsi ya kupamba, yaani Professional Makeup-up
artist BURE! Application deadline ni tarehe 24 December 2015!
LuvTouch
Manjano ni kipodozi cha kwanza kuzinduliwa nchini Tanzania (Makeup
line) na imependwa na wanawake wengi nchini. Jiongezee kipato kwa kuwa
mmoja wa washiriki kwa kuweza kuuza bidhaa zako katika eneo unaloishi
huku ukiwa mtaalam vile vile wa kuwapamba wateja wako katika ubora wa
uhakika.
Tuma maombi yako kwa kujaza form iliyoandikwa ‘Participant Form’ kwenye tovuti ya Manjano Foundation www.manjanofoundation.org au
leta maombi yako kwa mkono katika ofisi zetu za Manjano Foundation
zilizopo Kijitonyama, jengo la Millennium Towers gorofa ya kwanza.
Mafunzo haya yatatolewa kwa wanawake 30 kwa mikoa mitano (jumla wanawake 150) tu katika maeneo na tarehe zifuatazo;
MANJANO DREAM-MAKERS TRAINING TIMETABLE
1. Dar es Salaam – Tarehe: January 4 - 8, 2016
2. Mwanza – Tarehe: January 18 - 22, 2016
3. Zanzibar – Tarehe: February 1 – 5, 2016
4. Kilimanjaro – Tarehe: February 15 - 19, 2016
5. Dodoma – Tarehe: March 7 – 11, 2016
Apply
now to become a LuvTouch Manjano representative and enjoy financial
independence! Sign up now by filling the form titled ‘Participant Form’
at our website http://www.manjanofoundation.org
@luvtouchmanjano
@shearillusionsafrica
Kwa Maelezo Zaidi Tembelea Manjano Foundation
No comments:
Post a Comment