Kibanda cha kitakachotumika
wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar
es Salaam.
Askari wa Jeshi la Wananchi
akiigiza kama Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis
Mwamunyange na mwingine akiigiza kama Rais anayemaliza muda wake, Jakaya
Kikwete wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya
Tano, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange (wa pili kulia), Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Maangu (wa tatu kulia) na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Said Sadick wakipiga saluti ulipokuwa unaimbwa wimbo
wa Taifa wakati wa mazoezi ya sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya
Tano, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Maofisa
mbalimbali wakiwa katika kibanda cha kiapo wakipanga jinsi viongozi
watakavyokaa wakati wa sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk
John Magufuli kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Kikundi cha sarakasi kikitumbuiza wakati wa maandalizi hayo
Viongozi mbalimbali wakiwemo wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa Jukwaa Kuu wakati wa maandalizi hayo.
Baadhi
ya wananchi na viongozi wa serikali wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa na Bendi
ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakati wa maandalizi hayo.
Mtu aliyeigiza kama Rais Jakaya Kikwete, akielekea kukagua gwaride la heshima la kumuaga wakati wa mazoezi hayo. |
No comments:
Post a Comment