Rais Jakaya Mrisho
Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza
kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha
upinzani (CUF) Maalim Seif katika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hatua
hiyo inajiri wakati ambapo kuna mkwamo wa kisiasa kisiwani humo baada
ya Tume ya Uchaguzi(ZEC) kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika.
Hatahivyo
mwandishi wetu aliyezungumza na mkurugenzi wa maswala ya mawasiliano
katika chama cha CUF amesema kuwa hakuna lolote la muhimu lililoafikiwa
isipokuwa 'mazungumzo ya kawaida.
Amesema kuwa wamehuzunika baada ya kubaini kuwa rais Jakaya Kikwete anakamilisha muhula wake wa uongozi hapo kesho.
No comments:
Post a Comment