TTCL

EQUITY

Monday, October 26, 2015

Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya kata jimbo la Kilindi mkoani Tanga afariki dunia

Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya kata jimbo la Kilindi mkoani Tanga amefariki dunia baada ya gari alilokua amepanda kwenda kupeleka masanduku ya kura kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kuacha njia na kupinduka

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kamanda wa polisi mkoani Tanga ZUBERI MWOMBEJI amesema tukio hilo lilitokea majira ya saa saba na nusu za usiku wakati wakirudisha masanduku kwenye ofisi ya msimamizi wa uchaguzi jimbo la kilindi

No comments:

Post a Comment