~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga
na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na
nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza
kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na
kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa lugha ya kingereza unafahamika kama piles
~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi huwaathiri watu wazima
kuliko watoto na inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako katika
hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa miaka 30_50
AINA ZA BAWASIRI
~Kuna Aina mbili za bawasiri
(A) BAWASIRI YA NDANI
~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa huwa
haiambatani na maumivu na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo hili
~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja kubwa
~Aina hii imegawanyika katika madaraja manne
(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahal pale panapohusika
(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia
(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi
(B)BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji
wa haja kubwa na huambatana na maumivu makali na kuwashwa kwa ngozi
katika eneo la tundu Hilo pia husababisha mishipa ya damu (vena)
kupasuka na damu kuganda na kasababisha Aina ya bawasiri iitwayo
THROMBOSED HEMORRHOIDS
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
KUHARISHA KWA MUDA MREFU
TATIZO LA KUTOPATA CHOO
MATATIZO YA UMRI
KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
UZITO KUPITA KIASI
MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya bawasiri pia tiba
iliyozoeleka ni kukatwa kinyama na kuendelea na lishe ya chakula hata
hvyo tiba hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha tatizo hivyo
huwa rahisi kujirudia hivyo tiba nzuri ni kutumia dawa na anion chip
kubandika mahali penye tatizo na kuondoa tatizo Hilo
~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza kuepukika kwa kuzingatia
KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA, NA NAFAKA ZSZOKOBOLEWA
KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12 Kwa siku
EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU
MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
kupata upungufu wa damu (anemia)
Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
kuathirika kisaikolojia
kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
WASILIANA KWA 0717035770 AU 0768800800
No comments:
Post a Comment