TTCL

EQUITY

Thursday, October 1, 2015

RATIBA YA MIKUTANO YA MH. EDWARD LOWASSA LEO TAREHE 1 OKTOBA 2015

TAARIFA MUHIMU KUHUSU MIKUTANO YA LEO ALHAMISI TAREHEE 1/ 10/ 2015 YA MGOMBEA URAIS KWA TICKET YA CHADEMA, NDUGU EDWARD LOWASSA


1. Saa 3 - 5 asubuhi, Temeke Mwembeyanga

2. Saa 6 - 7:30 mchana, Segerea, Liwiti

3. Saa 8:30 - 9:30 alasiri, TP Sinza/ Uzuri

4. Saa 10:30 - 12 jioni, Kawe Tanganyika Packers

No comments:

Post a Comment