Mwana muziki kutoka Ghanaian D Black amekuwa miongoni mwa wasani
wakubwa duniani kupata nafasi ya kazi zao kusikilizwa na kutazamwa
kupitia mtandao wa Jay Z wa TIDAL.
Hii itakuwa nafasi nyingine ya msanii D Balck kutengeneza pesa
mtandaoni kwenye mtandao huu unaomilikiwa na Jay Z huku wasanii wengine
wakubwa kama Beyonce, Usher, Rihanna, na Nicki Minaj wa kiwa hisa.
Mpaka sasa TIDAL mpaka sasa ina nyimbo milioni 30 na watumiaji laki saba.
No comments:
Post a Comment