Hali ya Afya ya Mchekeshaji Vengu wa Original Comedy
Nilikuwa natazama Komedi ya kundi la Orijino Komedi. Naona katika orodha ya washiriki, yupo Joseph Shamba "Vengu" ambaye ni mwaka wa pili sasa hajaonekana hadharani.
Yuko wapi? Tuliambiwa anaumwa, vipi maendeleo yake?
Kwa anayejua...atujuze
No comments:
Post a Comment