Story zilikuwa nyingi mitandaoni kuhusu picha ya hii gari.. nakumbuka wakati ule ishu yaESCROW ilikuwa bado mjadala mkubwa Bungeni na mtaani pia hapa TZ.. Watu wakasema kuna kigogo mmoja wa ESCROW ndio aliyeagizia hii Rolls Royce Phantom.
Hii iko kwenye mitandao tena, hii gari ni story kubwa Nairobi kila inakopita yani.. Kumbe haikutua TZ kama ambavyo watu walidhani, ilitua Kenya na iko tayari mtaani mtu anatembelea.
Hapa tayari iko barabarani na namba za usajili wa Kenya.
No comments:
Post a Comment