KUTOKANA NA SAKATA ZITO LA PICHA, SHILOLE AWAJIBU BASATA
shilole amesema haikuwa dhumuni lake kufanya hivyo bali ilitokea kwa bahati mbaya kutokana na nguo yake kutatuka wakati akiwa jukwaani..anawaomba radhi kwa tukio hilo lililo tokea kwa bahati mbaya pasipo yeye kutarajia
No comments:
Post a Comment