TTCL

EQUITY

Monday, March 16, 2015

taarifa nyingine kuhusu tukio la Moto uliowaka Hostel za Wanafunzi Dar es Salaam, Mabibo

.

Muda mfupi uliopita  leo March 16 kumetokea tukio la moto kwenye bweni la wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa kiongozi wa kikosi cha zima moto Kinondoni, Juma Lundawa amesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ya moto imetokana na shoti ya umeme kwenye bweni la wasichana (Block B) katika chumba ambacho kinatumiwa kuhifadhi magodoro ya wanafunzi.
Wanafunzi walioshuhudia moto huo wamesema moto ulianza majira ya saa mbili asubuhi huku jitihada za kuuzima moto huo zikiendelea mpaka kikosi cha zimamoto kilipofika kuudhibiti moto huo.
Majeruhi wa tukio hilo ni wanafunzi wawili ambao wamepelekwa katika hospital ya Muhimbili kupata huduma ya matibabu.
Hapa ni picha kutoka eneo hilo.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment