TTCL

EQUITY

Tuesday, March 10, 2015

Shabiki wa Rihanna aliyechorwa tattoo 14 kuhusu Rihanna.

Ata baada ya kukatazwa na mama yake mzazi, shabiki wa ukweli wa msanii Rihanna ‘Sara Ridge’ amejichora tattoo zaidi ya 10 kwenye mwili wake na zote zinamuhusu Rihanna. Binti huyu kutoka South Africa ana tattoo saba za sura ya Rihanna na  zingine ni mashairi yake.
 rihanna fan 6rihanna fan 7rihanna fan 8
 rihanna fan 2 rihanna fan 3

No comments:

Post a Comment